Thursday, October 12, 2017

ENTERTAINMENT
                                             SCRIPT WRITING
                                         Theory and practical guide for beginners
Hili ni somo lihusianalo na uandishi wa miswada ya filamu. Usikose kufuatilia hapa hapa kwenye blog yako pendwa....
Hapa tutapata kuzungumzia....
1.INTRODUCTION TO SCREENWRITING
2.THE THEME
3.THE CHARACTER
Na nyinginezo nyingi kwa lugha ya kiingereza...

Sunday, September 10, 2017

Friday, August 18, 2017

RIWAYA
kuanzia siku ya jumanne wiki ijayo usikose kufuatilia riwaya mbali mbali zitakazo kuwa zikiruka hapa.kutoka kwa waandishi wako nguri wa riwaya hapa Tanzania

C E O
R.Bachubila

Monday, June 26, 2017

karibu kwenye blog ya triple 3 Media
Habari ndugu msomaji wa blog hii pendwa ya tripple 3 media.  Kwa kutembelea blog hii kila siku utapata kujifunza mambo mapya, Utapata burudani uipendayo, Utapata habari na matukio yanayotokea Tanzania na nje ya Tanzania. Vipo vitu vingi utaletewa, hivyo endelea kutembelea blog hii kila siku ufaidike na mengi.


Tunakaribisha matangazo kama unataka kutangaziwa biashara au huduma yoyote bei ndogo sana wasiliana nasi kwa email hii ramadhanbachubila@gmail.com utawekewa tangazo lako kwenye blog hii kwa bei nafuu sana kwa mwezi.

 Ukiwa kama mdau wangu wa nguvu usikose kushare blog hii facebook whatsapp instagram ili watu wengi waje kuitembelea blog yangu. Andika www.triple3media.blogspot.com mtu akibonyeza jina hilo ataletwa hapa. asante kwa kunisaidia kushare na Mungu akubariki sana Wenu mkurugenzi wa mtandao wa triple 3 media